-->

SEMINA KWA WAJASIRIAMALI

Wajasiriamali wakiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi kutoka chuo kikuu  cha Mwalimu Julius K.Nyerere cha kilimo na teknolojia butiama.Wakwanza kutoka kushoto ni Mr. Emmanuel Wabanhu alikuwa akifundisha mbinu za kuhifadhi bidhaa gharani na faida zake,wapili kushoto ni Mr.Jackson Bulili alifundisha juu ya ujasiriamali na fursa za biashara,na watatu kutoka kushoto ni Ms.Odina Migowe alifundisha juu ya elimu ya utunzaji kumbukumbu za fedha kwenye biashara.

Katika semina hiyo iliyoendeshwa kwa ushirikiano wa MJNUAT na manispaa ya musoma, pia mada zingine kama  umuhimu wa bima,afya na biashara ziliwasilishwa na wataalamu kutoka manispaa.

Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…