-->

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima  pamoja na uongozi wa chuo Kikuu cha mwalimu Julius K. nyerere  wakitoka nje mara baada ya kukagua  bweni katika Chuo Kikuu cha Kilimo, Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K. Nyerere butiama.

Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…